info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100

Latest From Our Blog

News
April 17, 2026 14:25:24 | By Ester1 Mbanguka1 TTCL YAZINDUA KIJITONYAMA FTTX EXPERIENCE CENTER

Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL amezindua rasmi kituo cha kisasa cha maonesho kinachojulikana kama KIJITONYAMA FTTX Experience Center chenye lengo la kuonesha na kuelimisha umma kuhusu teknolojia ya mawasiliano ya kisasa.

News
April 17, 2026 14:18:58 | By Ester1 Mbanguka1 TTCL YAPONGEZWA KWA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 22.9

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kuimarisha usimamizi na ufanisi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kufuatia mafanikio ya Shirika hilo kurejea katika faida na kuonyesha mwelekeo chanya wa ukuaji wa kibiashara.

News
April 17, 2026 13:17:55 | By Ester1 Mbanguka1 TTCL YAPOKEA TUZO UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KIDIJITALI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, ikiwa ni kutambua mchango mkubwa wa shirika hilo katika kuimarisha miundombinu ya mawasiliano na kuchochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini.

News
April 13, 2026 14:42:06 | By Edwin Mashasi Powering Tanzania’s Digital Future: Nationwide ICT Backbone Expansion Launched

The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, has officially launched

News
March 25, 2026 14:20:28 | By Adeline Berchimance TTCL YASHIRIKI UZINDUZI WA MFUMO WA MTUMIAJI APP • Yaahidi kushirikiana kwa karibu na TCRA CCC

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb), amezindua Mfumo wa

News
March 23, 2026 14:59:54 | By Adeline Berchimance RAIS DKT. MWINYI: SMZ ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TTCL KUIMARISHA MAWASILIANO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na

Live from Mount Kilimanjaro