info@ttcl.co.tz
+255 22 214 2000

Habari Zetu

Habari
30-03-2023 11:34:25 | Na Adeline Berchimance WANAWAKE WA TTCL WATOA MSAADA OCEAN ROAD

Tarehe 8 Machi kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake, ama Siku ya Wanawake Duniani. Katika siku hii, wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania huungana na Wanawake wenzao duniani kote kuadhimisha siku hii muhimu.