info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
Michezo
February 20, 2026 11:05:11 | Na Adeline Berchimance RIDHIWAN KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA TTCL, AFUNGA RASMI MKUTANO WA 6 WA SERIKALI MTANDAO AICC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete

Habari
February 16, 2026 21:15:00 | Na Adeline Berchimance TTCL YADHAMINI JUKWAA LA SATELAITI LA SADC, YATOA INTANETI YA BURE KWA WASHIRIKI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuthibitisha nafasi yake muhimu katika kukuza sekta ya mawasiliano

Michezo
February 16, 2026 20:18:46 | Na Adeline Berchimance TTCL YATOA WITO KWA WATUMISHI WAKE KUSHIRIKI MICHEZO KUIMARISHA AFYA NA MSHIKAMANO KAZINI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuimarisha ustawi

Habari
February 11, 2026 16:34:46 | Na Adeline Berchimance TTCL YAPONGEZWA USIMAMIZI BORA WA MIUNDOMBINU YA TEHAMA KUPITIA NIDC

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupitia Kituo cha Taifa cha Utunzaji Data Kimtandao (NIDC)

Habari
February 11, 2026 08:11:40 | Na Adeline Berchimance TTCL NGUZO MUHIMU YA TEKNOLOJIA KATIKA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NA UCHUMI WA KIDIJITALI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kujidhihirisha kama mdau mkuu wa teknolojia nchini kwa kusisitiza umuhimu

Habari
February 10, 2026 16:31:10 | Na Adeline Berchimance TTCL YATUNUKIWA CHETI CHA PONGEZI KWA MCHANGO WAKE KATIKA KUFANIKISHA KONGAMANO LA MWAKA LA ANWANI ZA MAKAZI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetunukiwa cheti maalumu cha pongezi na Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Habari
January 31, 2026 17:57:40 | Na Adeline Berchimance T-PESA YAIBUKA MSHINDI WA TATU KATIKA WIKI YA WATOA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA

T-PESA, Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), imehitimisha ushiriki wake katika

Habari
January 31, 2026 17:27:46 | Na Adeline Berchimance WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA OFISI ZA TTCL ZANZIBAR, APONGEZA UTENDAJI NA KUAGIZA KUONGEZA KASI

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angella Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb), Januari 26, 2026

Habari
Habari
January 31, 2026 17:11:13 | Na Adeline Berchimance T-PESA YASHIRIKI KIKAMILIFU UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA

Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), T-PESA, imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya

Habari
January 30, 2026 16:05:45 | Na Adeline Berchimance TTCL YAIMARISHA MAUZO YA FTTH MBEZI 1 KUPITIA PROGRAMU MAALUMU UBUNGO MSEWE

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limefanikiwa kutekeleza programu maalumu ya mauzo ya huduma ya intaneti ya

Habari
November 28, 2025 08:09:29 | Na Adeline Berchimance WAZIRI KAIRUKI AITAKA TTCL KUONGEZA UWEKEZAJI ILI KUIMARISHA USHINDANI NA KUCHOCHEA UCHUMI WA KIDIJITALI

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki (Mb), ameuelekeza uongozi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania

Habari
November 24, 2025 08:29:22 | Na Adeline Berchimance T-PESA YADHAMINI NA KUSHIRIKI SEMINA YA UONGOZI WA WANAWAKE KATIKA BIMA BARANI AFRIKA

Kampuni ya T-Pesa imedhamini na kushiriki kikamilifu katika Semina ya Uongozi wa Wanawake katika Bima Barani Afrika

Habari
November 12, 2025 16:38:26 | Na Adeline Berchimance T-FIBER TRIPLE HUB: UVUMBUZI MPYA WA TTCL KWA MAISHA YA KIDIJITALI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua rasmi kifurushi kipya cha Faiba Mlangoni Kwako kinachoitwa

Habari
November 12, 2025 11:56:45 | Na Adeline Berchimance TANZANIA YANG’ARA KUPITIA TTCL — WBBA YAITAMBUA KAMA KINARA WA MIUNDOMBINU YA KIDIJITALI AFRIKA

Tanzania imeendelea kung’ara katika ramani ya maendeleo ya TEHAMA barani Afrika baada ya Shirika la Mawasiliano Tanzania