info@ttcl.co.tz
+255 22 214 2000

Jiachie Dakika

Mitandao Yote(Dakika) Bei Muda wa Kifurushi
20 500 Bila Kikomo
65 1500 Bila Kikomo
135 3000 Bila Kikomo

Vigezo na Masharti

  • Bei zote zinajumuisha VAT
  • Kifurushi kinapatikana kwa wateja wote wa rununu wa malipo ya kabla.
  • Kifurushi hiki hakina ukomo wa muda
  • Mteja anaruhusiwa kujiunga vifurushi vingi.
  • Mkusanyiko kwenye usajili mwingi unaruhusiwa na manufaa yatakusanywa kulingana na usajili.
  • TTCL ina mamlaka kamili ya kubadilisha ofa yoyote pale itakapoonekana ni muhimu.

Jinsi ya Kujiunga

Kujiunga Piga *148*30#