info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
Habari
April 17, 2026 14:25:24 | Na Ester1 Mbanguka1 TTCL YAZINDUA KIJITONYAMA FTTX EXPERIENCE CENTER

Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL amezindua rasmi kituo cha kisasa cha maonesho kinachojulikana kama KIJITONYAMA FTTX Experience Center chenye lengo la kuonesha na kuelimisha umma kuhusu teknolojia ya mawasiliano ya kisasa.

Habari
April 17, 2026 14:18:58 | Na Ester1 Mbanguka1 TTCL YAPONGEZWA KWA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 22.9

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kuimarisha usimamizi na ufanisi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kufuatia mafanikio ya Shirika hilo kurejea katika faida na kuonyesha mwelekeo chanya wa ukuaji wa kibiashara.

Habari
April 17, 2026 13:17:55 | Na Ester1 Mbanguka1 TTCL YAPOKEA TUZO UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KIDIJITALI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, ikiwa ni kutambua mchango mkubwa wa shirika hilo katika kuimarisha miundombinu ya mawasiliano na kuchochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini.

Habari
April 13, 2026 14:42:06 | Na Edwin Mashasi Powering Tanzania’s Digital Future: Nationwide ICT Backbone Expansion Launched

The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, has officially launched

Habari
March 25, 2026 14:20:28 | Na Adeline Berchimance TTCL YASHIRIKI UZINDUZI WA MFUMO WA MTUMIAJI APP • Yaahidi kushirikiana kwa karibu na TCRA CCC

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb), amezindua Mfumo wa

Habari
March 23, 2026 14:59:54 | Na Adeline Berchimance RAIS DKT. MWINYI: SMZ ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TTCL KUIMARISHA MAWASILIANO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na

Habari
March 18, 2026 10:16:15 | Na Adeline Berchimance KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAIPONGEZA TTCL KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI YA MAWASILIANO

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeipongeza TTCL kwa juhudi zake katika kuimarisha miundombinu

Habari
March 18, 2026 10:07:32 | Na Adeline Berchimance TTCL YAZINDUA “SUPERSONIC EXPERIENCE; KASI BALAA” KWA HUDUMA YA FAIBA MLANGONI KWAKO

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua rasmi huduma mpya ya intaneti ya kasi kubwa inayojulikana

Habari
March 9, 2026 12:42:02 | Na Adeline Berchimance WANAWAKE TTCL WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Katika kuunga mkono ajenda ya kimkakati ya Serikali ya kuimarisha usawa wa kijinsia na kuongeza ushiriki wa

Habari
March 9, 2026 09:35:39 | Na Adeline Berchimance WANAWAKE WA TTCL WATOA MSAADA JKCI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wametoa

Habari
March 9, 2026 07:53:11 | Na Adeline Berchimance WANAWAKE - TTCL WAPATIWA SEMINA YA AFYA YA AKILI KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Katika kuadhimisha na kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani mwaka huu 2026, Wanawake wa

Habari
Habari
February 27, 2026 14:05:01 | Na Adeline Berchimance TTCL YAWEKA MIKAKATI MADHUBUTI KUFANIKISHA DIRA YA MAENDELEO 2050

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amewasilisha mafanikio ya

Habari
February 27, 2026 11:07:53 | Na Adeline Berchimance NAIBU WAZIRI MKAMA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI SEKTA YA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Switbert Mkama amehimiza Uwajibikaji kwa Viongozi,

Michezo
February 20, 2026 11:05:11 | Na Adeline Berchimance RIDHIWAN KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA TTCL, AFUNGA RASMI MKUTANO WA 6 WA SERIKALI MTANDAO AICC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete