Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) limezindua Kampeni Mpya “WALETEE”
Jaji Mkuu waTanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati wa Maonesho ya
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa wito kwa wadau mbalimbali wa Utalii nchini kuhamia katika utalii wa kidigitali.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya utoaji wa huduma ya intaneti yenye kasi ya TTCL Faiba katika makazi ya wananchi jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Shirika za kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora, za uhakika na zenye kukidhi mahitaji ya uchumi wa kidijitali.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya TEHAMA na Miongozo ya Kitaifa ya Uganda kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano ya Uganda
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb), amefungua rasmi Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi 2026, linalofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, kuanzia Juni 29 hadi Julai 1, 2026.
Meneja wa Kibiashara wa TTCL Mkoa wa Dar es Salaam Kaskazini, Bw. Diwani Mwamengo, amesema utekelezaji
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua rasmi huduma mpya ya intaneti ya kasi kubwa inayojulikana
Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma kimefungwa rasmi na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt.
T- Pesa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL-Corporation ni miongoni mwa Mashirika na
Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL-PESA Bw. Richard Mayongela akiongozana na Wajumbe wengine wametembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), ambapo walijionea huduma mbalimbali za kidijitali na suluhisho za kifedha zinazotolewa kupitia T-PESA kwa wananchi, taasisi na wafanyabiashara.
Katika hatua ya kuimarisha mawasiliano ya kikanda na kukuza uchumi wa kidijitali, Waziri wa
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limejipanga kikamilifu kuhakikisha wateja na wananchi wanaotembelea Banda Na. 26 katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026) wanapata huduma bora, elimu kuhusu bidhaa na huduma mbalimbali za kidijitali, pamoja na suluhisho zinazokidhi mahitaji yao.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukuza ujuzi wa teknolojia nchini kwa kutoa mafunzo ya kitaalamu kwa wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kuhusu uendeshaji na usimamizi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limesema kuwa litaendelea kuboresha huduma zake kwa kutumia