Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupitia Kituo cha Taifa cha Utunzaji Data Kimtandao (NIDC)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Moremi Marwa amewaalika wananchi kutembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026) ili kujionea mageuzi ya kiteknolojia na suluhisho mbalimbali za kidijitali zinazotolewa na Shirika katika kuimarisha huduma za mawasiliano na kuchochea uchumi wa kidijitali nchini.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeandika historia mpya baada ya kutunukiwa Tuzo Maalum na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia mafanikio ya kurejea kwenye faida kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu cha changamoto za kifedha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Balozi Valentino Longino Mlowola, ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Agosti 24 mwaka huu lilitoa semina maalum kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Watumishi wa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, T-PESA
Timu ya wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kutoka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), ikiongozwa na
Waziri wa Kilimo. Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Khamis amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL kwa huduma wanazozitoa ambapo zimerahisisha Mawasiliano Nchini Tanzania na nje ya Nchi.
Mhe. Jerry Slaa (Mb) amewataka Wadau wa sekta ya TEHAMA na Mawasiliano kuunganisha Afrika kwenye miundombinu ya mawasiliano
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akabidhi tuzo kwa familia ya Marehemu Joachim Kapembe, kwa kutambua na kuthamini mchango wa Marehemu Joachim Kapembe wakati wa uzinduzi wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13 2022.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kujidhihirisha kama mdau mkuu wa teknolojia nchini kwa kusisitiza umuhimu
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuwakaribisha wananchi, wafanyabiashara, taasisi za umma na binafsi kutembelea banda lake lililopo Government Pavilion 2, Viwanja vya John Malecela, Nzuguni jijini Dodoma, ili kujifunza na kujionea kwa karibu huduma na suluhisho mbalimbali za kisasa za mawasiliano na Teknolojia.
Wito umetolewa kwa Wananchi kutumia huduma zinazozalishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasalimia Viongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) waliokuwa wakiliwakilisha Shirika katika banda la maonesho wakati wa Tamasha la Kizimkazi 2026.
Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Corporation limefanikiwa kukusanya shilingi 135,216,317,693 hadi kufikia Aprili 2024 katika