info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
August 7, 2023 10:43:01 | By Adeline Berchimance T-PESA YAPAA KIDIJITALI, YAZINDUA AKAUNTI PEPE

Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL ya T-PESA imezindua huduma mpya ya kifedha ya Akaunti Pepe(Virtual Account) ambayo inamuwezesha mtumiaji kufanya miamala ya kifedha kwa usalama na hivyo kuongeza chachu katika kukuza matumizi ya kifedha kidijitali.

News
November 24, 2025 08:29:22 | By Adeline Berchimance T-PESA YADHAMINI NA KUSHIRIKI SEMINA YA UONGOZI WA WANAWAKE KATIKA BIMA BARANI AFRIKA

Kampuni ya T-Pesa imedhamini na kushiriki kikamilifu katika Semina ya Uongozi wa Wanawake katika Bima Barani Afrika

News
August 23, 2025 17:36:13 | By Adeline Berchimance WANAFUNZI WA SHREE HINDU MANDAL WAFANYA ZIARA TTCL

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Shree Hindu Mandal wamefanya ziara ya mafunzo katika

News
October 11, 2023 11:10:40 | By Adeline Berchimance MAWASILIANO NI BIASHARA ONGEZENI UBUNIFU-NAIBU KATIBU MKUU SMZ

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limeshauriwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu, kutafuta wateja

News
August 26, 2024 12:26:45 | By Adeline Berchimance TTCL KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO KATIKA VITUO VYOTE VYA UTALII NCHINI

Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL limesema kuwa litapeleka huduma za

News
October 27, 2025 11:23:44 | By Adeline Berchimance SOCOF YAPONGEZA TTCL KWA UWEKEZAJI KATIKA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO

Ujumbe kutoka Kampuni ya Mawasiliano ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SOCOF) umehitimisha

News
September 25, 2023 16:54:30 | By Adeline Berchimance HAKUNA UCHUMI WA KIDIGITALI BILA TTCL KUWAJIBIKA- KM ABDULLAH

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, imelitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TCCL), kuhakikisha

News
June 28, 2026 18:39:47 | By Ester Mbanguka TTCL YASHIRIKI MAONESHO YA 50 YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA 2026

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linashiriki katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

News
June 16, 2026 17:14:06 | By Ester Mbanguka TTCL YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 DODOMA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linashiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika kuanzia tarehe 16 hadi 23 Juni 2026 katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.

News
June 4, 2026 17:32:16 | By Ester Mbanguka UJUMBE WA UETCL WAPONGEZA TTCL KWA KUKUZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI

Ujumbe kutoka Kampuni ya Kusafirisha Umeme nchini Uganda (Uganda Electricity Transmission Company Limited - UETCL) umetembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre na kupongeza juhudi za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kuwekeza kwenye miundombinu na suluhisho za kidijitali zinazochangia maendeleo ya sekta ya mawasiliano nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki.

News
June 4, 2026 17:29:37 | By Ester Mbanguka WAFANYAKAZI WA TTCL MKOA WA PWANI WAJENGEWA UWEZO KUHUSU TEKNOLOJIA ZA FTTX

Wafanyakazi wa TTCL Mkoa wa Pwani, wakiongozwa na Meneja wa Mkoa, Bw. Abdulrahim Chotta, wametembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre kwa lengo la kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuongeza uelewa kuhusu teknolojia za kisasa za mawasiliano zinazotolewa na Shirika.

News
September 15, 2023 09:16:44 | By Adeline Berchimance NICTBB NA ESCOM KULETA MABADILIKO SEKTA YA MAWASILIANO

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania-TTCL limesaini Mkataba wa Makubaliano ya Kibiashara na Kampuni ya Serikali ya Malawi

News
August 14, 2026 16:30:38 | By Debora Ngalima KIZIMKAZI 2026 YAFIKIA KILELE LEO ZANZIBAR, MHE. RAIS AFUNGA RASMI

Tamasha la Kizimkazi 2026 limefikia kilele chake leo katika Viwanja vya Makunduchi, Zanzibar, likihudhuriwa na kufungwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

News
August 2, 2023 12:48:23 | By Adeline Berchimance MIUNDOMBINU BORA YA MAWASILIANO KITOVU CHA UKUAJI UCHUMI KIDIGITALI

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania- TTCL Bi. Zuhura Muro amesema TTCL inauwezo wa kuifanya Tanzania kuwa nchi kiongozi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC kutokana uwepo wa miundombinu bora ya mawasiliano yenye uwezo wa kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kidjitali.

News
July 12, 2026 13:50:37 | By Ester Mbanguka WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI TTCL WAJIONEA MAFANIKIO YA HUDUMA NA UBUNIFU WA KIDIJITALI SABASABA 2026

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) watembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), ambapo wamejionea maendeleo ya huduma na suluhisho mbalimbali za kidijitali zinazotolewa na Shirika kwa wananchi, taasisi za umma, sekta binafsi na wafanyabiashara.