Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Corporation limefanikiwa kukusanya shilingi 135,216,317,693 hadi kufikia Aprili 2024 katika
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL, ni miongoni mwa Taasisi, Kampuni Mashirika ya Umma na Binafsi pamoja na
Katika kuunga mkono ajenda ya kimkakati ya Serikali ya kuimarisha usawa wa kijinsia na kuongeza ushiriki wa
Mhe.Jerry Silaa amepongeza juhudi za Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL katika kuungaisha nchi za jirani
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) imefanya ziara maalum katika kituo cha SEACOM kilichopo
Katika hatua muhimu ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan aahidi kuondoa changamoto zinazozikabili Taasisi na Mashirika ya Umma ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, ametembelea mabanda ya Taasisi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, akabidhi rasmi magari tisa (9) na bajaji ishirini na nane (28) kwa Wakuu wa Idara na Vitengo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya Shirika na kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja.
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb),
Wananchi na Wadau mbalimbali hususani Wakulima, Wafugaji na Wavuvi wamevutiwa na huduma na bidhaa zinazotolewa na Shirika la mawasiliano Tanzania.
Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL Corporation limepeleka huduma na bidhaa zake katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji maarufu
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL , limesema linandelea kuwezesha nchi zinazoizunguka Tanzania kupata huduma ya Mawasiliano kupitia
Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, CPA Moremi Marwa, ametembelea Banda la Maonesho la Shirika hilo lililopo katika Viwanja vya Ukumbi
Wito umetolewa kwa Taasisi, Mashirika ya Umma na binafsi na Wizara mbalimbali kutumia Kituo cha Kutunza Data Kimtandao (Data Centre)