Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan aahidi kuondoa changamoto zinazozikabili Taasisi na Mashirika ya Umma ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao.
Kampuni ya huduma za kifedha kwa njia ya kidijitali, T-Pesa, imeonesha dira ya maboresho ya miamala ya pesa barani Afrika kupitia wasilisho
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb) ameongoza msafara wa Mawaziri kutoka
Wananchi na Wadau mbalimbali hususani Wakulima, Wafugaji na Wavuvi wamevutiwa na huduma na bidhaa zinazotolewa na Shirika la mawasiliano Tanzania.
Meneja wa Kibiashara wa TTCL Mkoa wa Dar es Salaam Kaskazini, Bw. Diwani Mwamengo, amesema utekelezaji
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amemkabidhi cheti cha shukrani Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa wito kwa wadau mbalimbali wa Utalii nchini kuhamia katika utalii wa kidigitali.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki (Mb), ameuelekeza uongozi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limewasilisha rasmi Mpango Mkakati wa Biashara wa
SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limesema kuwa litaendelea kuboresha huduma zake kwa kutumia
Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya Kikao Kazi Maalum na Wadau wa Sekta ya
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amepongeza juhudi za
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na taasisi zake za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na
Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL Corporate Machi 26 mwaka huu limetoa futari kwa Watoto Yatima katika Kituo cha Mazizini na
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akabidhi tuzo kwa familia ya Marehemu Joachim Kapembe, kwa kutambua na kuthamini mchango wa Marehemu Joachim Kapembe wakati wa uzinduzi wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13 2022.