info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
March 27, 2025 11:38:07 | By Adeline Berchimance TTCL YAFUTURISHA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR

Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL Corporate Machi 26 mwaka huu limetoa futari kwa Watoto Yatima katika Kituo cha Mazizini na

News
August 27, 2024 14:55:39 | By Adeline Berchimance KIKAO KAZI CHA MSAJILI WA HAZINA CHA ZIKUTANISHA TAASISI 248 ARUSHA

Mashirika ya Umma yapatayo 248 na Mashirika yasiyo ya Umma 58 kupitia kwa Wenyeviti wa Bodi na

News
March 8, 2024 14:52:58 | By Adeline Berchimance TTCL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI SOKO LA MABIBO

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa vifaa vya kufányia usafi soko la Mabibo jijini Dar es Salaam kwa lengo likiwa

News
October 18, 2024 16:30:17 | By Adeline Berchimance WATUMISHI TTCL WAPATIWA MAFUNZO YA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA

Watumishi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL wapatiwa mafunzo kuhusu Sheria Mpya ya Ununuzi wa

News
August 26, 2024 12:48:37 | By Adeline Berchimance RAIS SAMIA APONGEZA TTCL USHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi cheti cha

News
July 2, 2026 18:00:29 | By Ester Mbanguka TTCL YAENDELEA KUWEKEZA KATIKA VITENDEA KAZI, YAKABIDHI MAGARI SITA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kutekeleza mkakati wake wa kuboresha mazingira ya kazi kwa kukabidhi magari sita (6) mapya yenye thamani ya Shilingi milioni 903 kwa Meneja wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, Meneja wa Network Operations and Maintenance pamoja na Meneja wa Network Planning, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa shughuli za kiutendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi.

News
August 27, 2025 11:41:20 | By Adeline Berchimance NAIBU WAZIRI MKUU AKABIDHI CHETI CHA UTAMBUZI KWA TTCL

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amemkabidhi cheti cha shukrani Mkurugenzi Mkuu wa

News
March 9, 2026 07:53:11 | By Adeline Berchimance WANAWAKE - TTCL WAPATIWA SEMINA YA AFYA YA AKILI KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Katika kuadhimisha na kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani mwaka huu 2026, Wanawake wa

News
March 14, 2024 12:33:57 | By Adeline Berchimance UBUNIFU, WELEDI, KUJITAMBUA NA KUJIAMINI VYA TAJWA KUWA SILAHA YA WANAWAKE KUTIMIZA MALENGO

Wanawake Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania wameshauri kuendeleza jitihada zaidi na ubunifu, kujitambua,

News
June 17, 2026 17:26:40 | By Ester Mbanguka WATUMISHI WAHIMIZWA KUIMARISHA UWAJIBIKAJI KWA HUDUMA ENDELEVU KWA WANANCHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb), amezindua rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma, huku akiwataka watumishi wa umma nchini kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uwajibikaji na kujituma katika kutoa huduma bora na endelevu kwa wananchi.

News
July 4, 2024 12:29:51 | By Adeline Berchimance TTCL YAJA NA HUDUMA YA T CAFE

SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) limekuja na huduma mpya ambayo itahusisha kufunga mtandao kwa bei nafuu katika

News
June 23, 2026 10:24:03 | By Ester Mbanguka MHE. HALIMA DENDEGO AHAMASISHA MATUMIZI YA HUDUMA ZA TTCL

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, amewahimiza wananchi, taasisi za umma na binafsi pamoja na wafanyabiashara kuendelea kutumia huduma zinazotolewa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), akieleza kuwa Shirika hilo lina mchango mkubwa katika kuimarisha sekta ya mawasiliano na kuharakisha maendeleo ya uchumi wa kidijitali nchini.

News
July 6, 2026 22:34:07 | By Ester Mbanguka WANANCHI WAENDELEA KUNUFAIKA NA OFA ZA TTCL SABASABA 2026

Maafisa wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wanaendelea kuwahudumia wananchi wanaotembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), kwa kuwapatia elimu kuhusu huduma na suluhisho mbalimbali za mawasiliano na teknolojia za kidijitali zinazotolewa na TTCL.

News
April 2, 2025 11:46:42 | By Adeline Berchimance KAMILISHENI UJENZI WA MINARA KWA WAKATI- CPA MARWA

Wakandarasi wa ujenzi wa minara ya mawasiliano wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kwakuzingatia

News
September 14, 2023 15:53:20 | By Adeline Berchimance TTCL YAWEZESHA INTANETI YA KASI KONGAMANO LA CONNECT 2 CONNECT (C2C) ZANZIBAR.

TTCL kama kitovu cha Mawasiliano imehakikisha huduma ya intaneti inapatikana katika kiwango cha juu katika