Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua rasmi utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Mradi wa Faiba Mlangoni Kwako (FTTH), hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa huduma ya intaneti ya kasi kwa wananchi, taasisi za umma na binafsi pamoja na wafanyabiashara kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Uzinduzi wa mradi huo umefanyika leo, Agosti 21, 2026, katika Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb).
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imezindua rasmi mafunzo ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa usambazaji
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kutekeleza wajibu wake wa kijamii na kitaifa kwa kuwapokea wanafunzi kutoka vyuo na kada mbalimbali nchini kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo (Field Attachment) kwa mwaka wa masomo 2026/2027.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) awatunuku tuzo na vyeti kwa washiriki 57 walioshiriki katika uzinduzi wa huduma ya mawasiliano Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13, 2022.
Mhe.Jerry Silaa amepongeza juhudi za Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL katika kuungaisha nchi za jirani
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), CPA Moremi Marwa, amefanya ziara
Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL linatoa shukrani kwa washiriki wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi waliotembelea banda lao la
Wanafunzi wa Chuo cha DIT wameshauriwa kuweka bidii na maarifa katika masomo yao ili waweze kufikia malengo na
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb), akiambatana na ujumbe kutoka Tanzania ikiwemo Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Moremi Marwa wamefanya ziara Viettel High Technology Industries jijini Hanoi, Vietnam.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) amefunga rasmi Kongamano la
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limefanikiwa kutekeleza programu maalumu ya mauzo ya huduma ya intaneti ya
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL lililopo ndani ya TEHAMA PAVILION katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katika muendelezo wa kutekekeleza agenda ya Serikali ya Tanzania ya Kidigitali, Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepokea
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania – TTCL, CPA Moremi Marwa amekabidhiwa rasmi Ofisi baada
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 28,2024 amefungua rasmi Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na