info@ttcl.co.tz
+255 22 214 2000

Jinsi ya kulipa bili kwa T-PESA

ORODHA YA MAKAMPUNI

Kupitia malipo ya Bili, Wafanyabiashara na Taasisi zinaweza kuwahudumia wateja vyema zaidi kwani wateja wanaweza kulipia huduma kwa urahisi na kwa wakati. Masuluhisho ya malipo ya bili kupitia T-PESA yamewezesha miamala rahisi ya mtu mmoja na pia malipo ya wingi inapohitajika.

 

T-PESA inaruhusu wateja kulipa ZAWA, BETTING, UTT AMIS, LIPA KWA UHAKIKA, ATCL, POWER CORNER, Usajili wa TV, na AZAM PAY.

LUKU

Jinsi ya Kununua Luku kwa T-PESA

Piga *150*71#

Chagua 3 Lipia Bili

Chagua 1 LUKU

Chagua 3 New Account

Weka Akaunti namba

Weka Kiasi

Weka Namba ya Siri kuhakiki malipo

Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wenye namba za Tokeni na units

N-CARD

T-PESA huwezesha malipo kupitia N-CARD.

Kupitia T-PESA unaweza Kuongeza salio kwenye N-CARD yako au kununua tiketi ya mechi.

PIGA *150*71#

Chagua (4) Malipo ya Bili

Chagua (9) Malipo ya Mtandaoni

   1. Ongeza Salio

   2. Nunua tiketi