info@ttcl.co.tz
+255 22 214 2000

Anza na T-PESA

Jinsi ya kujisajili T-PESA

Tembelea maduka au mawakala wa TTCL ukiwa na kitambulisho halali (NIDA) au Pasipoti ili upate kadi ya simu ya TTCL.

Sajili akaunti ya T-PESA piga *150*71 #

Chagua lugha yako (Kiswahili au Kiingereza)

Ingiza Namba ya Siri mpya (ziwe tarakimu 4)

Thibitisha Namba ya Siri mpya

Tayari umesajiliwa

 

 

NB: Piga *150*71# kupata menyu ya T-PESA

Tuma au Pokea Fedha kwa T-PESA

Kutuma Pesa kupitia T-PESA

Piga *150*71#

 Chagua 1 Tuma pesa

Chagua namba 1 ya Mpokeaji

Ingiza namba ya simu

Ingiza kiasi

Ingiza Namba ya Siri

Utapokea ujumbe wa uthibitisho

Jinsi ya Kununua Kifurushi

Piga *150*71#

Chagua (3) Nunua muda wa maongezi/ Kifurushi

Chagua (2) Kifurushi cha TTCL

Chagua Kifurushi unachohitaji

Weka namba yako ya Siri

Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho

Jinsi ya Kununua Muda wa Maongezi

Jinsi ya Kununua Muda wa Maongezi

Piga *150*71#

Chagua kununua muda wa maongezi/Bundle

Chagua 1 simu yangu au 2 ingiza namba

Ingiza kiasi 

Ingiza PIN

Utapokea ujumbe wa uthibitisho. 

Jinsi ya Kutoa Fedha kwenye akaunti yako ya T-PESA

Unaweza kutoa pesa kutoka kwa akaunti ya T-PESA kupitia mawakala wa T-PESA

Piga *150*71#

Chagua (2) Toa Pesa

Weka nambari ya mawakala

(XXXXXX)

Weka Kiasi

Weka Namba yako ya Siri

Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho

Our Business Partners