info@ttcl.co.tz
+255 22 214 2000

T-PESA Diaspora

MUHTASARI.

Ukiwa na T-PESA, unaweza kupokea pesa kwa urahisi kutoka nje ya nchi PAPO HAPO kupitia pochi yako ya T-PESA kupitia washirika wetu mbalimbali duniani. Wateja wanaweza kutoa pesa kupitia wakala wa T-PESA wanapotembelea Tanzania.

Kupitia washirika wetu wa kimataifa, T-PESA hukuwezesha kupokea pesa moja kwa moja kwenye pochi yako ya T-PESA PAPO HAPO kutoka zaidi ya nchi 200 kutoka Ulaya, Marekani, Australia, Mashariki ya Kati na Afrika hadi kwenye pochi yako ya T-PESA bila malipo.

KUPOKEA PESA

KUTUMA PESA