info@ttcl.co.tz
+255 22 214 2000

Malipo ya serikali

JINSI YA KULIPA MALIPO YA KISERIKALI

Kufanya malipo ya Serikali kupitia T-PESA ni rahisi, unachohitaji kufanya ni:

Piga *150*71#

Chagua (4) Lipa Bili.

Chagua (5) malipo ya Serikali.

Ingiza namba ya kumbukumbu.

Weka kiasi.

Weka namba yako ya Siri.

Weka 1 kuthibitisha.

Utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo .

ZINGATIA:

Malipo yote yenye namba ya kumbukumbu kutoka taasisi husika ni malipo ya kiserikali. Hakikisha unahakiki namba yako ya kumbukumbu kabla hujafanya malipo kupitia T-PESA.