info@ttcl.co.tz
+255 22 214 2000
JINSI YA KUFUNGUA AKAUNTI PEPE (VIRTUAL WALLET T-PESA)

1.Pakua App ya T-PESA kupitia Google play store / App store.

 2. Chagua lugha uipendayo (Swahili, English).

3. Ingiza namba yako ya simu ya mtandao wako [Mtandao wowote]. 

4. Subiri meseji ya OTP na uandike (mfano 1234).

 5. Weka namba yako ya NIDA.

 6. Chagua kidole na upige picha kuhakiki taarifa zako.

 7. Weka namba ya siri na uthibitishe namba yako ya siri; na hapo utakuwa umefanikiwa kufungua akaunti pepe.