Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepokea wanafunzi wa Shule ya Sekondari St. Therese Mapinga waliotembelea makao Makuu ya shirika kwa ziara ya mafunzo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa utafiti wao wa kitaaluma (Project Work) wenye mada isemayo, "The Role of TTCL Corporation in Improving Communication in Tanzania."
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Moremi Marwa, ametembelea mabanda ya taasisi mbalimbali zinazoshiriki Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), kwa lengo la kujionea ubunifu wa teknolojia, kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na kutambua fursa zinazoweza kuchochea maendeleo ya uchumi wa kidijitali nchini.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limewasilisha rasmi Mpango Mkakati wa Biashara wa
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka 2025 yamefanyika kwa
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limefanikiwa kutekeleza programu maalumu ya mauzo ya huduma ya intaneti ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi cheti Meneja TTC Zanzibar Bi. Nasra Mugheiry , ishara ya kutambua mchango wa Shirika la Mawasiliano (TTCL) katika kudhamini, kushiriki na kuunga mkono Tamasha la Kizimkazi ambalo lilifikia kilele Agosti 14, 2026 Kizimkazi, Kusini Unguja, Zanzibar.
Imeelezwa kuwa uwepo wa matumizi ya N-CARD katika maeneo ya vivuko, stendi za mabasi na
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake mkubwa katika kufanikisha Kongamano la Kwanza la Mwaka la Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha, baada ya kudhamini huduma ya intaneti ya uhakika iliyowezesha shughuli zote za kongamano hilo kufanyika kwa ufanisi.
Wakandarasi wa ujenzi wa minara ya mawasiliano wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kwakuzingatia
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kupewa pongezi kutoka kwa Viongozi Waandamizi wa
Kampuni ya T-Pesa imedhamini na kushiriki kikamilifu katika Semina ya Uongozi wa Wanawake katika Bima Barani Afrika
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua rasmi huduma mpya ya intaneti ya kasi kubwa inayojulikana
Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL linatoa shukrani kwa washiriki wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi waliotembelea banda lao la
Maafisa wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wanaendelea kuwahudumia wananchi wanaotembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), kwa kuwapatia elimu kuhusu huduma na suluhisho mbalimbali za mawasiliano na teknolojia za kidijitali zinazotolewa na TTCL.