info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
August 26, 2024 12:48:37 | By Adeline Berchimance RAIS SAMIA APONGEZA TTCL USHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi cheti cha

News
June 30, 2026 19:34:51 | By Ester Mbanguka TTCL YAANDIKA HISTORIA, YATUNUKIWA TUZO NA RAIS SAMIA BAADA YA KUREJEA KWENYE FAIDA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeandika historia mpya baada ya kutunukiwa Tuzo Maalum na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia mafanikio ya kurejea kwenye faida kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu cha changamoto za kifedha.

News
July 22, 2026 09:37:17 | By Debora Ngalima KIJA WAJIONEA NGUVU YA TEKNOLOJIA KATIKA KITUO CHA KIDIGITALI KIJITONYAMA

Wanachama wa Kinondoni Jogging Association (KIJA) wametembelea Kituo cha Kidigitali Kijitonyama na kujionea kwa karibu namna teknolojia za kisasa na intaneti yenye kasi zinavyoweza kubadili maisha ya wananchi, kuimarisha biashara na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma mbalimbali.

News
July 2, 2026 15:21:58 | By Ester Mbanguka TTCL YATUNUKIWA TUZO KWA MCHANGO WAKE KATIKA KONGAMANO LA KWANZA LA MWAKA LA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI NA FARAGHA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake mkubwa katika kufanikisha Kongamano la Kwanza la Mwaka la Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha, baada ya kudhamini huduma ya intaneti ya uhakika iliyowezesha shughuli zote za kongamano hilo kufanyika kwa ufanisi.

News
May 16, 2025 10:14:58 | By Adeline Berchimance N-CARD SASA KUWA JAMII KADI

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa ameonesha kuridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Kituo

News
August 12, 2026 16:32:47 | By Debora Ngalima RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA TTCL KIZIMKAZI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi 2026, ambapo amepata fursa ya kufahamu huduma na mchango wa TTCL katika kuimarisha mawasiliano na kuchochea maendeleo ya uchumi wa kidijitali Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

News
September 8, 2026 19:38:09 | By Debora Ngalima TTCL NA BBS YA BURUNDI WAENDELEA KUBORESHA MAHUSIANO YA KIBIASHARA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano (NICTBB), na Burundi Backbone System (BBS) wamesaini mkataba wa kuongeza uwezo wa huduma za mawasiliano nchini Burundi kutoka 4Gbps hadi 10Gbps.

News
July 28, 2025 07:31:11 | By Adeline Berchimance TTCL YAENDELEA NA MAGEUZI YA KIDIJITALI: YASHIRIKI WARSHA YA KIMATAIFA YA TEKNOLOJIA ILIYOANDALIWA NA KAMPUNI YA NOKIA

Timu ya wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kutoka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), ikiongozwa na

News
February 16, 2026 21:15:00 | By Adeline Berchimance TTCL YADHAMINI JUKWAA LA SATELAITI LA SADC, YATOA INTANETI YA BURE KWA WASHIRIKI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuthibitisha nafasi yake muhimu katika kukuza sekta ya mawasiliano

News
July 4, 2025 18:18:12 | By Adeline Berchimance MKURUGENZI MKUU WA TTCL AFANYA ZIARA KATIKA BANDA LA TTCL MAONESHO YA 49 YA SABASABA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation, Bw. Moremi Marwa, leo Julai

News
July 1, 2024 13:19:48 | By Adeline Berchimance SABA SABA 2024 FURSA KWA TTCL KUONESHA UMAHILI WAKE SEKTA YA MAWASILIANO

Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL linashiriki katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Saba Saba katika

News
August 17, 2026 14:42:45 | By Debora Ngalima TTCL YATUNUKIWA CHETI CHA SHUKRANI KIZIMKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi cheti Meneja TTC Zanzibar Bi. Nasra Mugheiry , ishara ya kutambua mchango wa Shirika la Mawasiliano (TTCL) katika kudhamini, kushiriki na kuunga mkono Tamasha la Kizimkazi ambalo lilifikia kilele Agosti 14, 2026 Kizimkazi, Kusini Unguja, Zanzibar.

News
April 17, 2026 14:18:58 | By Ester Mbanguka TTCL YAPONGEZWA KWA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 22.9

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kuimarisha usimamizi na ufanisi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kufuatia mafanikio ya Shirika hilo kurejea katika faida na kuonyesha mwelekeo chanya wa ukuaji wa kibiashara.

News
August 26, 2024 12:26:45 | By Adeline Berchimance TTCL KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO KATIKA VITUO VYOTE VYA UTALII NCHINI

Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL limesema kuwa litapeleka huduma za

News
June 11, 2024 13:47:28 | By Adeline Berchimance UKAGUZI WA MAENDELEO YA MRADI

Kamati Tendaji ya Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania limefanya ziara