info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
May 30, 2025 22:45:26 | By Adeline Berchimance VIJANA WAHUSISHWE KATIKA MIJADALA YA UTAWALA WA MTANDAO AFRIKA-MHANDISI MAHUNDI

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Meryprisca Mahundi (Mb), Mei 29 mwaka huu alfungua rasmi vikao

News
June 11, 2026 17:32:18 | By Ester Mbanguka TTCL YAONGEZA KASI YA UPANUZI WA HUDUMA ZA FAIBA ARUSHA, MKURUGENZI MKUU AKAGUA MAENDELEO

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya utoaji wa huduma ya intaneti yenye kasi ya TTCL Faiba katika makazi ya wananchi jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Shirika za kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora, za uhakika na zenye kukidhi mahitaji ya uchumi wa kidijitali.

News
August 1, 2026 08:19:53 | By Debora Ngalima TTCL YAENDELEA KUWEKEZA KATIKA KIZAZI KIJACHO CHA WAHANDISI WA MAWASILIANO NCHINI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuonesha dhamira yake ya kuwekeza katika maendeleo ya rasilimali watu na kukuza kizazi kijacho cha wataalamu wa mawasiliano nchini kwa kuwapokea wanafunzi kutoka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), waliotembelea Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam kwa mafunzo ya vitendo yaliyofanyika tarehe 30–31 Julai 2026.

News
August 20, 2024 15:47:50 | By Adeline Berchimance KAMATI YA BAJETI ZANZIBAR YAIPONGEZA TTCL KWA UBUNIFU NA USIMAMIZI WA MIRADI

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa

News
March 25, 2026 14:20:28 | By Adeline Berchimance TTCL YASHIRIKI UZINDUZI WA MFUMO WA MTUMIAJI APP • Yaahidi kushirikiana kwa karibu na TCRA CCC

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb), amezindua Mfumo wa

News
May 31, 2025 16:33:19 | By Adeline Berchimance AfIGF FURSA MUHIMU KWA BARA LA AFRIKA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIDIJITALI – WAZIRI SILAA

Mkutano Mkuu wa 14 wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao Afrika (Africa Internet Governance Forum - AfIGF)

News
July 11, 2026 17:00:16 | By Ester Mbanguka MWENYEKITI WA BODI YA UCSAF AVUTIWA NA UBUNIFU WA TTCL SABASABA 2026

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Balozi Valentino Longino Mlowola, ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

News
August 25, 2024 22:17:30 | By Adeline Berchimance TTCL YATOA SEMINA KWA WABUNGE WA KAMATI YA PIC

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Agosti 24 mwaka huu lilitoa semina maalum kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya

News
October 12, 2023 16:22:58 | By Adeline Berchimance SERIKALI NA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO NCHINI WASAINISHANA MIKATABA

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari chini ya Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano ya kihistoria na Watoa

News
October 13, 2024 10:33:32 | By Adeline Berchimance TTCL KUJENGA MINARA 636 KUIMARISHA MAWASILIANO NCHINI

SERIKALI kupitia Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linatarajia kujenga minara 636 Tanzania nzima katika

News
July 12, 2026 13:50:37 | By Ester Mbanguka WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI TTCL WAJIONEA MAFANIKIO YA HUDUMA NA UBUNIFU WA KIDIJITALI SABASABA 2026

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) watembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), ambapo wamejionea maendeleo ya huduma na suluhisho mbalimbali za kidijitali zinazotolewa na Shirika kwa wananchi, taasisi za umma, sekta binafsi na wafanyabiashara.

News
January 31, 2026 17:27:46 | By Adeline Berchimance WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA OFISI ZA TTCL ZANZIBAR, APONGEZA UTENDAJI NA KUAGIZA KUONGEZA KASI

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angella Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb), Januari 26, 2026

News
July 7, 2026 13:29:31 | By Ester Mbanguka VIONGOZI WA BODI YA T-PESA WATEMBELEA BANDA LA TTCL SABASABA 2026

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL-PESA Bw. Richard Mayongela akiongozana na Wajumbe wengine wametembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), ambapo walijionea huduma mbalimbali za kidijitali na suluhisho za kifedha zinazotolewa kupitia T-PESA kwa wananchi, taasisi na wafanyabiashara.

News
October 13, 2024 11:19:41 | By Adeline Berchimance TTCL YATOA WITO KWA WADAU KUHAMIA UTALII WA KIDIGITALI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa wito kwa wadau mbalimbali wa Utalii nchini kuhamia katika utalii wa kidigitali.

News
September 19, 2024 08:29:00 | By Adeline Berchimance WADAU WA SEKTA YA MAWASILIANO NA TEHAMA WATAKIWA KUIUNGANISHA AFRIKA

Mhe. Jerry Slaa (Mb) amewataka Wadau wa sekta ya TEHAMA na Mawasiliano kuunganisha Afrika kwenye miundombinu ya mawasiliano