Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL ni miongoni mwa Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaliyoshiriki maonesho yaliyoandaliwa na Wizara hiyo wakati wa Kikao cha 41 cha Baraza
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, akabidhi rasmi magari tisa (9) na bajaji ishirini na nane (28) kwa Wakuu wa Idara na Vitengo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya Shirika na kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja.
Serikali kupitia Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL imetekeleza mradi wa kuunganisha mkongo wa Taifa w
Wananchi na Wadau mbalimbali hususani Wakulima, Wafugaji na Wavuvi wamevutiwa na huduma na bidhaa zinazotolewa na Shirika la mawasiliano Tanzania.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Afya), Mhe. Dkt. Jafar Rajab Seif, amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa mchango wake katika kuimarisha miundombinu ya mawasiliano na kuunga mkono jitihada za Serikali za kujenga uchumi wa kidijitali kupitia utoaji wa huduma za kisasa za TEHAMA.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe Profesa Riziki Shemdoe ametoa rai kwa wananchi kutumia huduma zinazotolewa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) huku akipongeza juhudi za Shirika hilo katika kutekeleza dhamira ya Serikali ya kujenga Tanzania ya kidijitali na kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma bora na za uhakika za mawasiliano.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kupewa pongezi kutoka kwa Viongozi Waandamizi wa
Balozi wa Jamhuri ya Angola nchini Tanzania, Mheshimiwa Domingos Coelho, ametembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, CPA Moremi Marwa ameshiriki Kikao Kazi cha cha Wenyeviti wa Bodi na
Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL likiwa ni miongoni mwa Taasisi Mashirika Wajasiriamali na Wafanyabiasha wanaoshiriki Maonesho
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa (Mb) amezindua rasmi
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limewashukuru wananchi, wateja na wadau mbalimbali kwa mwitikio mkubwa waliouonesha kwa kutembelea Banda Na. 26 la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, maarufu kama Sabasaba. Maonesho hayo yalifanyika kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2026 katika Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki, amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zinazotokana na huduma za mawasiliano zinazotolewa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), hususan huduma za intaneti ya kasi kupitia Faiba Mlangoni Kwako, ili kuongeza matumizi ya teknolojia katika shughuli za kila siku na kuchangia ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb), amezindua rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma, huku akiwataka watumishi wa umma nchini kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uwajibikaji na kujituma katika kutoa huduma bora na endelevu kwa wananchi.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeungana na ujumbe wa wataalam kutoka Serikali ya Jamhuri ya