info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
August 9, 2023 12:06:17 | By Adeline Berchimance WAFANYAKAZI 14 WA TTCL NA KINAPA WAPEWA TUZO

Wafanyakazi 14 wa TTCL na KINAPA watunukiwa tuzo maalum kwa kufanikisha ujenzi wa mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.

News
July 23, 2026 15:29:25 | By Debora Ngalima TTCL YAWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WA DIT KUHUSU UENDESHAJI WA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukuza ujuzi wa teknolojia nchini kwa kutoa mafunzo ya kitaalamu kwa wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kuhusu uendeshaji na usimamizi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.

News
July 1, 2026 18:59:44 | By Ester Mbanguka TTCL YAENDELEA KUTOA HUDUMA NA ELIMU KWA WANANCHI SABASABA 2026

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kutumia Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026) kutoa huduma na elimu kwa wananchi kuhusu bidhaa na huduma mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na Shirika hilo.

News
August 17, 2026 14:42:45 | By Debora Ngalima TTCL YATUNUKIWA CHETI CHA SHUKRANI KIZIMKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi cheti Meneja TTC Zanzibar Bi. Nasra Mugheiry , ishara ya kutambua mchango wa Shirika la Mawasiliano (TTCL) katika kudhamini, kushiriki na kuunga mkono Tamasha la Kizimkazi ambalo lilifikia kilele Agosti 14, 2026 Kizimkazi, Kusini Unguja, Zanzibar.

News
September 6, 2023 09:21:29 | By Adeline Berchimance TTCL YAFANIKISHA MKUTANO WA PAPU KIMTANDAO

Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL ni miongoni mwa Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaliyoshiriki maonesho yaliyoandaliwa na Wizara hiyo wakati wa Kikao cha 41 cha Baraza

News
September 24, 2024 09:34:19 | By Adeline Berchimance T-PESA NA NIC ZASHIRIKIANA UTOAJI BIMA KWA WAKUU WA TAASISI

Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, T-PESA Limited na Shirika la Bima

News
March 11, 2025 16:09:26 | By Adeline Berchimance KICHERE AWAPONGEZA WANAWAKE, ASEMA SHIRIKA LINAWATAMBUA

Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wameungana na maelfu ya wanawake kutoka sekta mbalimbali kushiriki katika

News
September 25, 2023 16:54:30 | By Adeline Berchimance HAKUNA UCHUMI WA KIDIGITALI BILA TTCL KUWAJIBIKA- KM ABDULLAH

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, imelitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TCCL), kuhakikisha

News
August 18, 2025 08:32:58 | By Adeline Berchimance TTCL YAFANIKISHA KAMPENI YA FTTH KIMARA STOP OVER, YAHAMIA KIMARA TEMBONI

Meneja wa Kibiashara wa TTCL Mkoa wa Dar es Salaam Kaskazini, Bw. Diwani Mwamengo, amesema utekelezaji

News
March 23, 2026 14:59:54 | By Adeline Berchimance RAIS DKT. MWINYI: SMZ ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TTCL KUIMARISHA MAWASILIANO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na

News
August 31, 2024 14:05:55 | By Adeline Berchimance TTCL YATOA SHUKRANI KWA WASHIRIKI WA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WAKUU WA TAASISI

Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL linatoa shukrani kwa washiriki wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi waliotembelea banda lao la

News
March 9, 2026 12:42:02 | By Adeline Berchimance WANAWAKE TTCL WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Katika kuunga mkono ajenda ya kimkakati ya Serikali ya kuimarisha usawa wa kijinsia na kuongeza ushiriki wa

News
April 8, 2024 15:57:54 | By Adeline Berchimance TTCL YAPONGEZWA KWA MAGEUZI KIDIGITALI

Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL limepongezwa kwa jitihada na kazi kubwa inayofanyika ya kuleta mageuzi kidijitali nchini.

News
October 13, 2025 08:45:27 | By Adeline Berchimance HUDUMA BORA KWA WATEJA, KIPAUMBELE CHA KWANZA CHA TTCL – NGOWI

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limesema kuwa litaendelea kuboresha huduma zake kwa kutumia