Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi cheti cha
Baadhi ya Viongozi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wametembelea banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inayo matumaini makubwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angela Jasmini Mbelwa Kairuki (Mb), ametoa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasalimia Viongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) waliokuwa wakiliwakilisha Shirika katika banda la maonesho wakati wa Tamasha la Kizimkazi 2026.
Katika hatua muhimu ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
Balozi wa Jamhuri ya Angola nchini Tanzania, Mheshimiwa Domingos Coelho, ametembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere.
Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL likiwa ni miongoni mwa Taasisi Mashirika Wajasiriamali na Wafanyabiasha wanaoshiriki Maonesho
Wafanyakazi wa TTCL Mkoa wa Pwani, wakiongozwa na Meneja wa Mkoa, Bw. Abdulrahim Chotta, wametembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre kwa lengo la kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuongeza uelewa kuhusu teknolojia za kisasa za mawasiliano zinazotolewa na Shirika.
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb), amewasilisha taarifa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika kikao kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma tarehe 13 Mei 2026.
Katika jitihada za kuleta mapinduzi ya kidigitali na kuboresha maisha ya Watanzania, Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amefanya ziara mkoani Kigoma kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya mawasiliano, inayolenga kuimarisha miundombinu ya kidijitali, kuongeza upatikanaji wa huduma za mawasiliano na kufungua fursa mpya za biashara ndani na nje ya Tanzania.
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Mwakilishi wa Wanawake Mkoa
Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL amezindua rasmi kituo cha kisasa cha maonesho kinachojulikana kama KIJITONYAMA FTTX Experience Center chenye lengo la kuonesha na kuelimisha umma kuhusu teknolojia ya mawasiliano ya kisasa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb), amezindua rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma, huku akiwataka watumishi wa umma nchini kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uwajibikaji na kujituma katika kutoa huduma bora na endelevu kwa wananchi.