info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
August 29, 2024 17:27:10 | By Adeline Berchimance CPA MOREMI MARWA ATEMBELEA BANDA LA TTCL ARUSHA

Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, CPA Moremi Marwa, ametembelea Banda la Maonesho la Shirika hilo lililopo katika Viwanja vya Ukumbi

News
December 16, 2024 16:59:15 | By Ester Mbanguka WAZIRI SILAA AZINDUA RASMI BODI MPYA YA TTCL

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amezindua rasmi Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL leo tarehe 16 Desemba, 2024, Makao Makuu ya TTCL, jijini Dar es Salaam.

News
January 30, 2026 16:05:45 | By Adeline Berchimance TTCL YAIMARISHA MAUZO YA FTTH MBEZI 1 KUPITIA PROGRAMU MAALUMU UBUNGO MSEWE

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limefanikiwa kutekeleza programu maalumu ya mauzo ya huduma ya intaneti ya

News
July 13, 2025 23:05:13 | By Adeline Berchimance WAZIRI MKUU AKABIDHI TTCL TUZO YA NAFASI YA TATU KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO – MAONESHO YA 49 YA SABASABA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) amekabidhi tuzo ya nafasi ya Tatu katika

News
June 4, 2026 17:32:16 | By Ester Mbanguka UJUMBE WA UETCL WAPONGEZA TTCL KWA KUKUZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI

Ujumbe kutoka Kampuni ya Kusafirisha Umeme nchini Uganda (Uganda Electricity Transmission Company Limited - UETCL) umetembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre na kupongeza juhudi za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kuwekeza kwenye miundombinu na suluhisho za kidijitali zinazochangia maendeleo ya sekta ya mawasiliano nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki.

News
June 16, 2025 08:30:38 | By Adeline Berchimance T-PESA YATOA ELIMU YA MIAMALA TAMASHA LA FINTECH

T-PESA Kampuni tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) imeendelea kutoa elimu ya miamala salama ya fedha kimtandao

News
March 8, 2024 14:52:58 | By Adeline Berchimance TTCL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI SOKO LA MABIBO

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa vifaa vya kufányia usafi soko la Mabibo jijini Dar es Salaam kwa lengo likiwa

News
January 9, 2025 12:13:29 | By Adeline Berchimance IMARISHENI MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO ILI KUFIKIA MALENGO YA SERIKALI – MHANDISI MAHUNDI

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb),

News
June 29, 2025 17:05:25 | By Adeline Berchimance TTCL YAJIPANGA KIKAMILIFU KUWAHUDUMIA WATEJA KATIKA MAONESHO YA 49 YA BIASHARA YA KIMATAIFA – SABASABA 2025

Watumishi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wameonesha maandalizi ya hali ya juu katika kuhudumia wateja na

News
July 11, 2026 17:00:16 | By Ester Mbanguka MWENYEKITI WA BODI YA UCSAF AVUTIWA NA UBUNIFU WA TTCL SABASABA 2026

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Balozi Valentino Longino Mlowola, ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

News
March 11, 2025 14:37:57 | By Adeline Berchimance WANAWAKE TTCL ZIARANI NGORONGORO

Machi 7 mwaka huu Wanawake wa TTCL waliungana na Wanawake wenzao Zaidi ya 400

News
October 24, 2024 08:36:23 | By Adeline Berchimance WAZIRI SILAA ZIARANI MKOANI SINGIDA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa (Mb) ameanza ziara

News
September 15, 2023 14:17:21 | By Adeline Berchimance TUNA MATUMAINI MAKUBWA NA TTCL - WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inayo matumaini makubwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

News
August 12, 2025 16:18:29 | By Adeline Berchimance BODI YA WAKURUGENZI TTCL YATEMBELEA NICTBB KIBAHA NA SEACOM

Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) imefanya ziara maalum katika kituo cha SEACOM kilichopo