info@ttcl.co.tz
+255 22 214 2000
News
September 15, 2023 14:17:21 | By Adeline Berchimance TUNA MATUMAINI MAKUBWA NA TTCL - WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inayo matumaini makubwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

News
September 15, 2023 09:16:44 | By Adeline Berchimance NICTBB NA ESCOM KULETA MABADILIKO SEKTA YA MAWASILIANO

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania-TTCL limesaini Mkataba wa Makubaliano ya Kibiashara na Kampuni ya Serikali ya Malawi

News
September 14, 2023 15:53:20 | By Adeline Berchimance TTCL YAWEZESHA INTANETI YA KASI KONGAMANO LA CONNECT 2 CONNECT (C2C) ZANZIBAR.

TTCL kama kitovu cha Mawasiliano imehakikisha huduma ya intaneti inapatikana katika kiwango cha juu katika

Sports
September 14, 2023 11:46:04 | By Adeline Berchimance TTCL QUEENS YAIBUKA MSHINDI WA TATU ATE

Timu ya Mpira wa Pete ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL Queens) imeshiriki Bonanza la Michezo (ATE)

News
September 6, 2023 09:21:29 | By Adeline Berchimance TTCL YAFANIKISHA MKUTANO WA PAPU KIMTANDAO

Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL ni miongoni mwa Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaliyoshiriki maonesho yaliyoandaliwa na Wizara hiyo wakati wa Kikao cha 41 cha Baraza

News
August 25, 2023 15:53:22 | By Adeline Berchimance NITAZIONDOA CHANGAMOTO NDANI YA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA – RAIS DKT SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan aahidi kuondoa changamoto zinazozikabili Taasisi na Mashirika ya Umma ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao.

News
August 25, 2023 15:06:26 | By Adeline Berchimance TTCL KITOVU CHA MAENDELEO SEKTA YA MAWASILIANO

Imeelezwa kuwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) ni kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Mawasiliano na kitovu cha maendeleo ya uchumi wa Kidigitali nchini.

Sports
August 17, 2023 14:54:05 | By Adeline Berchimance TTCL QUEENS YAITOA JASHO CBE

Timu ya Mchezo wa Pete ya Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL QUEENS imeifunga magoli 12 kwa 9 timu ya Wafanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara CBE katika mchezo uliochezwa Agosti 16 mwaka huu katika viwanja vya chuo hicho.

Sports
August 14, 2023 15:47:30 | By Adeline Berchimance TTCL YACHANGIA NA KUSHIRIKI CRDB MARATHON 2023

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limeshiriki  Mbio za CRDB International Marathon Msimu wa Nne ambapo ambapo zililenga kukusanya fedha kwa ajili ya kuwasaidia Wanawake wenye ugonjwa wa Fistula wanaotibiwa katika Hospitali ya CCBRT Jijini Dar es Salaam.

News
August 9, 2023 13:29:35 | By Adeline Berchimance BANDA LA TTCL LAWA KIVUTIO KILELE CHA NANENANE MBEYA

Wananchi na Wadau mbalimbali hususani Wakulima, Wafugaji na Wavuvi wamevutiwa na huduma na bidhaa zinazotolewa na Shirika la mawasiliano Tanzania.

News
August 9, 2023 12:17:20 | By Adeline Berchimance WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR AIPONGEZA TTCL KWA KUIMARISHA MAWASILIANO.

Waziri wa Kilimo. Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Khamis amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL kwa huduma wanazozitoa ambapo zimerahisisha Mawasiliano Nchini Tanzania na nje ya Nchi.

News
August 9, 2023 12:14:11 | By Adeline Berchimance NAPE ATAMBUA MCHANGO WALIOSHIRIKI UZINDUZI MLIMANI KILIMANJARO.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) awatunuku tuzo na vyeti kwa washiriki 57 walioshiriki katika uzinduzi wa huduma ya mawasiliano Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13, 2022.

News
August 9, 2023 12:10:07 | By Adeline Berchimance WAZIRI NAPE AMLILIA MAREHEMU KAPEMBE, AMPA TUZO YA KIHISTORIA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akabidhi tuzo kwa familia ya Marehemu Joachim Kapembe, kwa kutambua na kuthamini mchango wa Marehemu Joachim Kapembe wakati wa uzinduzi wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13 2022.

News
August 9, 2023 12:06:17 | By Adeline Berchimance WAFANYAKAZI 14 WA TTCL NA KINAPA WAPEWA TUZO

Wafanyakazi 14 wa TTCL na KINAPA watunukiwa tuzo maalum kwa kufanikisha ujenzi wa mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.

News
August 7, 2023 12:11:10 | By Adeline Berchimance WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TTCL SABASABA 2023

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL lililopo ndani ya TEHAMA PAVILION katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.